CHUO KIKUU KISHIRIKI MARIAN    image

Mwaliko wa Kongamano 

Chuo Kikuu Kishiriki Marian (MARUCo) kilichopo kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, kinayofuraha kukukaribisha kushiriki kwenye Kongamano la Kiswahili.

 

Lengo Kuu la Kongamano

Kujadili mchango wa lugha ya Kiswahili katika maendeleo endelevu ya Tanzania na Afrika.

 

Matokeo ya Kongamano

Kongamano hilo litakuwa chachu ya kuibua na kufungua milango ya kufanya tafiti nyingi za lugha ya Kiswahili. Vilevile, litawahamasisha wataalamu wa Lugha ya Kiswahili kufanya miradi inayohusu kazi za kiswahili kama vile uandishi wa vitabu na makalambalimbali.

 

Gharama za Ushiriki

  • Gharama za Cheti cha Ushiriki: Shilingi elfu tatu tu (3000/=).
  • Kila mshiriki atajigharamia kwa chakula na malazi.

 

Tarehe ya Kongamano: 30/05/2023 (SIKU MOJA).

Mahali: Chuo Kikuu Kishiriki Marian – Bagamoyo, Pwani.

Mwisho wa kujiandikisha na kulipa gharama za cheti: 23/05/2023.

Malipo ya cheti yafanywe kupitia M-PESA kwa namba ifuatayo:

+255(0)764 955779 - Jina: MAHENDA  JAGADI

Zingatia: Ukifanya malipo toa taarifa kwa njia ya ujumbe mfupi kwa namba hiyohiyo kwa kutaja jina lako kamili.

 

Kaulimbiu: “KISWAHILI - MSINGI WA MAARIFA ENDELEVU KWA MAENDELEO YA TANZANIA NA AFRIKA”

 

FOMU YA KUJIANDIKISHA


 

[ TAREHE IMEPITA ]

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255(0)764 955 779/+255(0)763 538 861

Baruapepe: mahendakulwa@gmail.com

Karibu sana

 

TOP